NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Pyramid amesare home kwake tena 1-1Yanga wajiandae kumenyana na Pyramid.
Kombe la Loosers
Ati ninPyramid amesare home kwake tena 1-1
Yanga alipigwa 2-0 Sasa hilo goli waliopata baada ya mechi kuisha?Mkuu mbona kama aziz ki alifunga goli kwenye ile game ya away na monastir?
Kama umeumia vile. Sisi hata wakimleta nani atapigwa tuuu..Yanga wajiandae kumenyana na Pyramid.
Kombe la Loosers
Sawa mkuu..Yanga alipigwa 2-0 Sasa hilo goli waliopata baada ya mechi kuisha?
Tena yeye ndo kachomoa dakika za nyongeza kwa mkwaju wa penati.Pyramid amesare home kwake tena 1-1
Pyramidi Jana mbwa Yule katembea na pesa yangu Jana kasuruhu nyumbani kwao ile nayo timu unadhaniYanga wajiandae kumenyana na Pyramid.
Kombe la Loosers
Siyo monastir ni wale wengine kwenye makundiMkuu mbona kama aziz ki alifunga goli kwenye ile game ya away na monastir?
Kweli kabisa mkuu akitupia mbili mwamba anachukua kiatu.FIston lazima achukue kiatu kotekote, hapo anaemfatia ni wa Rivers united ambayo imeshika kitasa tayari kwa kutoka nje.
Na bado hawajaja hapa ambapo lazima atupie 2 kimiani, jumla zinakua 7 na hakuna wakumfikia hapo hata asipocheza fainali.
Hakuna kitu na monastr naye kadroo nimecheki gemu yao aisee asec wapo vizurTena yeye ndo kachomoa dakika za nyongeza kwa mkwaju wa penati.
Sijui kama watapenya hawa.
Huwezi kuwa na akili kichwani mwako mpaka unazeekaUJINGA NI KIPAJI.
Goli mbili za kombe la shirikisho au luzaz1. Fiston Mayele - 5
2. Kennedy Musonda -2
3. Jesus Moloko -1
4. Tuisila Kisinda -1
5. Mudathir Yahya -1
6. Farid Musa -1
JUMLA YA MAGOLI -11
Magoli ya Kufungwa 4
WAPIGA ASSIST WA YANGA SC KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
1. Kennedy Musonda - 3
2. Bakari Nondo -2
3. Djuma Shabani -1
4. Aziz Ki -1
5. Jesus Moloko -1
6. Fiston Mayele -1
JUMLA YA MAGOLI -11
View attachment 2597533
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mlianza na Tp Mazembe! Akaishia kupigwa nje ndani. Mkaja kwa Rivers! Na yeyw tayari ameshapigwa 0-2 nyumbani!Yanga wajiandae kumenyana na Pyramid.
Kombe la Loosers
Kama nyinyi mlivyoanza na Utopolo akagongwa 2 safi kabisa ,mkahamia kwa wydad akagongwa vizuri tu ,sasa mmehamia kuwa kuke morocco hamtoki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlianza na Tp Mazembe! Akaishia kupigwa nje ndani. Mkaja kwa Rivers! Na yeyw tayari ameshapigwa 0-2 nyumbani!
Na sasa mnahamia kwa Pyramids.
Huna akili mbumbumbu/au bimbilisa mavi uliyetukuka kabisaGoli mbili za kombe la shirikisho au luzaz
Ni sawa na shot on target 1 ya klabu bingwa CAFCL[emoji1787][emoji1787]