Usiku wa tarehe 26 kuamkia 27 January 2025,gereza la Munzenze huko Goma, lililokuwa na wafungwa 4,475, badhi ya majengo yalichomwa moto na wafungwa, waliokuwa wakifanya jitihada za kujinasua, kutokana habari iliyokuwa imeenea mji kuwa kundi la M23 linakaribia kuuteka, na huku walikuwa wakisikia milio ya bunduki ikilindima.
Wafungwa walianzisha vurugu na kuchoma magodolo humo humo ndani, na kusababisha Moshi mkali, uliowalazimu walizi kuja kuwafungulia.
Kwa kuwa wafungwa walijua kinachoendelea nje, walivunja ukuta na ukuta kuo wa katikati kuangukia wenzao waliokuwa chumba kingine,ambao ni wanawake.
Wengi wa wafungwa hawa walikuwa wanajeshi,kutoka maeneo tofauti, badhi wakitumikia kifungo, wengine wanaokadiliwa kufikia asilimia 90 wakisubiri hukumu yao.
Walio wengi walikuwa wakikabiliwa na kesi za mauaji.
Wafungwa hao walipotoka walienda kuchoma upande wa wanawake pia, huku 16 wakiokolewa. Wengi wao walibakwa. Ngazi za serikali, zilitangaza kuwa waliofaliki ni 141.
Msemaji wa kisiasa wa AFC/M23, Corneille Nangaa, alisema watu hao waliotoroka gereza, wapo mjini Goma walikojificha na wanaendelea kusakwa,huku badhi wakikamatwa, kwa lengo la kurudishwa mahabusu na kuendelea kutumikia vifungo vyao.