Kuna umuhimu wa kubadili sheria
Swali la msingi la kujiuliza ni asilimia ngapi ya wanaojiuza wanakamatwa na kupelekwa mahakamani
Biashara hii nadhani iruhusiwe tu
OTIS
nadhan police wapo biased,wange deal na wateja pia,
kuruhusu sikubalian nawe OTIS
ni kweli wange deal na wateja maana biashara bila wateja haiwezekani
Mtu anayeuza mali yake halali anafungwa! Ila wanaouza mali za uma wapo kitaa wanadunda! Hii ni uonevu.
nadhan police wapo biased,wange deal na wateja pia,
kuruhusu sikubalian nawe OTIS
Na gongo, Bangi, Unga wa kulevya, nk navyo viruhusiwe? Ni wangapi wanavifanyia biashara lakini hawajakamatwa na kupelekwa mahakamani?Kuna umuhimu wa kubadili sheria
Swali la msingi la kujiuliza ni asilimia ngapi ya wanaojiuza wanakamatwa na kupelekwa mahakamani
Biashara hii nadhani iruhusiwe tu
OTIS
Mtu anayeuza mali yake halali anafungwa! Ila wanaouza mali za uma wapo kitaa wanadunda! Hii ni uonevu.
Uchangudoa na mambo yanayohusiana nao ni kosa kisheria. DSM ina machangudoa hata saa sita mchana, hususani huko katikati ya mji, maswali ni; je ni wamgapi wamekamatwa? Je vp kuhusu wateja wao? Je kamatamata itakuwa endelevu? Nimewahi kusikia polisi huwafaidi, hivyo kutowakamata.
Mkuu usifungwa kimawazo ukasema wasiruhusiwe kwasababu wewe hupendi au imani yako haiungi mkono
Mie ni liberal na napenda kuwapa nafasi wengine waseme na wafanye vile wanapenda la msingi wasivunje sheria wala kuhatarisha amani
Kuna tatizo gani kuruhusu biashara ya ngono? maana sheria hairuhusu lakini watu bado wanafanya tena kwa wingi tu
sheria hii ndio polisi wanaitumia kunyanyasa wachache wasio na uwezo wa kuwahonga
OTIS
Na gongo, Bangi, Unga wa kulevya, nk navyo viruhusiwe? Ni wangapi wanavifanyia biashara lakini hawajakamatwa na kupelekwa mahakamani?
kwa biashara ya NG0NO HAPANA,SIO TU KIIMAN,HATA KIMAADILI PIA
Kimaadili? Watu kufanya biashara ya ngono ni kinyume cha maadili yapi?
Watu wengi tu ni wateja wa hawa kinadada ila wakisimama wajukwaani wanapinga.
Mapadre wanasema watu watumie condom.umejiuliza zatumika wapi?
Hayo maadili unayoyasema yametufikisha wapi kama taifa