Wafungwa watoroka Gereza huko Bukavu

Wafungwa watoroka Gereza huko Bukavu

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Miongoni wakiwa ni wale waliohukumiwa kifo juzi,
baada ya M23 kuingia mjini Bukavu, walinzi wa gereza la Bukavu waliondoka zao na kuwaacha wafungwa, ambao pia waliona isiwe tabu, wakarudi kwanza uraiani.

Wakati huo, jeshi la serikali liliamuwa kusambaza silaha mjini, na kila raia aliejisikia alipokea. Jambo ambalo limesaidia kuiba maeneo mbali mbali, ikiwemo ghara la PAM(shilika la chakula duniani).
 
IMG-20250215-WA0316.jpg
 
Back
Top Bottom