Wafungwa Zimbabwe - in concentration camps? - SHOCKING IMAGE

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Posts
3,713
Reaction score
889


NAOMBA NIWASIKIE WANA- JF AMBAO WANATUHUBUTU KUENDELEA KUMSIFIA NA KUMTETEA MUGABE!
Hii ni aibu kubwa sana for Africa and for Tanzanians! Tumeikomboa Zimbabwe only to give the country to a sadist!
 
Duh inasikitisha sana jamni halafu marais wapo tuu wanatumbua mali za wanyonge na kusherekea sijui siku zao za kuzaliwa mhh inatisha!!!
 
Haya huyo Prime Minister ana nini la kujieleza? Au kwa vile nae ameingia kwenye ulaji basi amewasahau wenzake?

Amandla........
 
Fundi Mchundo mkuu... hivi kweli unataka kuniambia Tsvangirai ulitegemea afanye lolote. Kumbuka kitu cha kwanza alichofanya alipoapishwa ni kuwatembelea wafungwa (poltiical prisoners hasa) na aliomba waachiwe lakini ukweli ni kwamba he has no real power. It is time for him to act and to move on maana hii serikali ya mseto haina maana wakati mambo hayabadiliki.
Lakini sijui kwa nini umekimbilia kwa Tsvangirai, mbona huna la kusema about Mugabe - huyo shujaa mkubwa? This old fool is like Hitler ..NO he is worse! I hope that there is special hell reserved for him!
 

Tsvangirai alionywa kuwa kwa kujiunga na huyu despot anampa credibility asiyostahili. Hakuna namna ambapo Mugabe angempa real power mtu kama yeye. Kwa kudharau yote hayo na kujiunga kwenye hii serikali ya mseto ndiko kuliko tufikisha hapa. Hawezi sasa kukemea serikali ya kiovu ambayo na yeye ni sehemu yake.

Sitegemei lolote kutoka kwa Robert. Nilitegemea zaidi kutoka kwa Morgan. Kama anaona hana nguvu ya maana anang'ang'ania nini humo? Si ajitoe amuache Robert abebe mzigo wake?

Amandla.....
 
Last edited:
Basi ni heri wafungwa hawa wote waachiwe tu huru kuliko kufa kwa njaa na maradhi!

Halafu watu wanasema eti Mugabe ni hero ktk kuwapinga Mabeberu yaani US na UK!

At some point kama wananchi watashindwa kumtoa raisi kwa nguvu basi nchi zingine zitumia majeshi kumtoa kama Tz ilivyofanya kwa Amini 1979!
 



NAOMBA NIWASIKIE WANA- JF AMBAO WANATUHUBUTU KUENDELEA KUMSIFIA NA KUMTETEA MUGABE!
Hii ni aibu kubwa sana for Africa and for Tanzanians! Tumeikomboa Zimbabwe only to give the country to a sadist!

Tusizunguke mbuyu.... wapuuzi ni viongozi wetu wa AU wooooteee including Tanzania leader!!!!!!!!!!!! KWani wangetaka kumuondoa mugabe wangeweza, wanakaa kuhangaika na kale ka-DJ au yule mwarabu wa ile wilaya ya ngazija

Greedy and selfishness; synonymous to African leaders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…