Wafupi mpooo

Imposibo_

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2016
Posts
2,746
Reaction score
2,121
Asilimia 98 ya watu wafupi huwa hawapunguzi urefu wa jeans zao, huzikunja kwa chini wakiishi kwa matumaini kwamba kuna siku watarefuka wakunjue jeans zao.
HII INAITWA IMANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana.. Nimeuliza tuu unatumia sehem ya haja kubwa kuandika au vidole?
Umewahi kuandikia kunduz ako mpaka udhani wengine wanaweza pia!
Mwaga mauzoefu.

Sorry hivi mazishi ya Masaburi ni lini.
 
Ngoja waje wahusika [emoji28]
 
Nchi ina wendawazimu, m1 ktk kila watu wa4
 
Mimi hununua za kunitosha hakuna haja ya kupunguza wala kukunja. Vizuri kuangalia urefu wa unachununua wanawekaga namba unakaa unajijua.
 
Wafupi hawajawahi kunikataa mimi USTAKE NCHEKE.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unaandika kwa tumia sehem ya haja kubwa au vidole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…