Waganda hii sasa misifa

Kwa kweli mm nawatakia majirani zetu wa Uganda kila la heri hapo kesho wachomoze na ushindi mapema asubuhi. Mafundisho yanatuasa tuwapende majirani zetu. Uganda Cranes 3 - Taifa Stars a.k.a kichwa cha mwendawazimu 0.
 
Asante sana raia wa rwanda
 
Sawa lkn ndo wanatukandia hivi kama vile atujuani?

Lazima wafanye hivyo ili wakipigwa hata kwa mipango ionekane ni game tu,kumbuka,kwa mchina hatoki mtu,aaaaah,sorry,kumbe hii sio Simba
 
Kuna watu Tz lkn cha ajabu hawaitakii mema Taifa stars kufuzu Africon sasa kesho tukishinda muache unafiki kujifanya na nyinyi mnamapenzi na timu ya Taifa mbaki na chuki zenu hivyo hivyo
 
Unashangaa nini?Kwani Mechi ya Simba na Vita hukuwaona wacongo wa kuchonga wakishangilia?
 
Simba kwani timu ya taifa unajue labda wengine tokea kipindi cha utotoni wao walikuwa washabiki wa As vita km wanavyoshabikia timu za ulaya sasa ni kosa kushangilia timu yake ? mimi hapa ni shabiki wa kutupwa wa kaizer chiefs
 
Hawa wanajiandaa na kutengeneza timu kwaajili ya Afcon siyo stars
 
Kuna watu Tz lkn cha ajabu hawaitakii mema Taifa stars kufuzu Africon sasa kesho tukishinda muache unafiki kujifanya na nyinyi mnamapenzi na timu ya Taifa mbaki na chuki zenu hivyo hivyo
Ni kweli watanzania walio wengi hawataki timu yetu ya taifa iende Africon bali wanataka timu yao iende kwenye mashindano ya AFCON. Ha ha ha jus a joke
 
Unashangaa nini?Kwani Mechi ya Simba na Vita hukuwaona wacongo wa kuchonga wakishangilia?
Wakongo Wa kuchonga bado tupo tunawasubiria wakongomani wenzetu wengine watakuja
 
Simba kwani timu ya taifa unajue labda wengine tokea kipindi cha utotoni wao walikuwa washabiki wa As vita km wanavyoshabikia timu za ulaya sasa ni kosa kushangilia timu yake ? mimi hapa ni shabiki wa kutupwa wa kaizer chiefs
Kwa mfano Mimi hapa ni shabiki Wa kutupwa Wa TP Mazembe. Na hii ilianzia pale Mbwana Samatta alipojiunga nao na kucheza kwa mafanikio sana
 
Hata Evra alishangilia Man U ilivyocheza na PSG japo yy ni mfaransa kwa sababu yeye ni Man U hakujali kwamba Psg ya kwao ufaransa
 
Mifano mfu. Evra umeshawahi kumkuta anashangilia timu ya taifa ya nchi nyingine ikicheza na Ufaransa?
Anashangilia Man United kwa sababu ni timu yake iliyomfanya maarufu na hata kuchukua ubingwa mara kadhaa.
Kushangilia waganda kwa kisingizio cha siasa ni ujinga uliopevuka.
Ndio sababu unakuta wachezaji wengi hawashangilii wakifunga dhidi ya timu zao za zamani kuonyesha heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…