Hii lugha ya uchochexi kabisaaaaView attachment 931057
Hii ni packaging ya sembe kutoka Uganda inauzwa £8.00 kwa kilo mbili.
Waganda si wakulima wa mahindi kama sisi lakini wamefanikiwa kuteka soko la unga wa ugali Ulaya waishindana na wa South Africa.
Still DSM gdp is almost equal to that of ugandaView attachment 931057
Hii ni packaging ya sembe kutoka Uganda inauzwa £8.00 kwa kilo mbili.
Waganda si wakulima wa mahindi kama sisi lakini wamefanikiwa kuteka soko la unga wa ugali Ulaya waishindana na wa South Africa.
Aisee... inapendezaView attachment 931057
Hii ni packaging ya sembe kutoka Uganda inauzwa £8.00 kwa kilo mbili.
Waganda si wakulima wa mahindi kama sisi lakini wamefanikiwa kuteka soko la unga wa ugali Ulaya waishindana na wa South Africa.
Tanzania mtumishi kutoka nje ya nchi mpaka Rais akubali.
We have long way to go