#COVID19 Waganda wanavyoteseka na lockdown. Mh Museveni ingilia kati mtakufa waganda

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kutokana na sheria zilizopo ukiwa na mgonjwa unaita ambulance. Now ambuulance beii zake hazishikiki kabisa.

Watu wanakufa kila kona kwakukosa usafiri. Angalia mh Rais hili kama mtu hana hela anakufa nyumbani inaondoa maana ya lockdown kabisa.

Inahuzunisha sanasana
 

Attachments

  • Screenshot_20200415-154949.png
    406.4 KB · Views: 2
Sikuhizi wagonjwa wanaopewa kipaumbele ni wa corona Tu.
Kwa mtindo huu ukiendelea huko mbele kuna hatari ya kutokea vifo vingi Kwa wagonjwa wanaougua magonjwa mengine
 
Hivi yule wa Kariakoo alikua lockdown.?
Huku mbona tunawabeba wagonjwa kwenye machela,baiskeli ,will barrow nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…