Waganga 12 wajitokeza kupambana na "jini mahaba" linalomsumbua lady jaydee

Aende kwa mzee wa upoko akapakwe cha kupakwa apaka tike pakatiiiiiiiiii
 
Katka Jina la Yesu aliye hai Waganga washindwe
jina mahaba & mganga wapi na wapi
Waende wakatolewe kanisani buree
waganga satamfirisi hao ni waganga njaa mno.
sasa akitolewa kwa jina la yesu itabidi na nyimbo abadili ziwe za injili.jambo ambalo nadhani kiutunzi hatweza.inabidi atumie njia zilezile jini lilivyomuingia
 
This is too personal kwa nini kuingilia maisha ya watu na kuweka public kama wamejitokesa tuache yeye mwenyewe ndo atoe ushuhuda.
 
Our lord JESUS CHRIST is not famous among the youth because of we pastors, Prophet TB Joshua( 2013).
 
Katka Jina la Yesu aliye hai Waganga washindwe
jina mahaba & mganga wapi na wapi
Waende wakatolewe kanisani buree
waganga satamfirisi hao ni waganga njaa mno.

wakatolewe wapi?' coz mama rwaka ndo ivo tena anahifadhi wabakaj kanisan kwake.
 
Habari za Jay Dee mwachieni Jay Dee mwenyewe. Yote hayo maigizo, reality show ina script? Na kama ana matatizo ndo atumie vyombo vya habari kutibiwa? Naona wengine wameanza kuingiza na ukanisa na uganga. hapo ndipo napochoka kwani kila siku makanisa yanagombea wagonjwa na ikitokea ukachagua kanisa la kwenda wengine watasema pale sipo ungeenda kwa mchungaji fulani. Wizi mtupu... Jay Dee pole sana but fanya mambo yako kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…