Ni wakati kama mtu yuko katika ndoa au mahusiano awe muwazi na mkweli kwa mpenzi wake na waongee kwa uwazi kuhusu masuala haya na mambo mengine
kusema za ukweli nguvu za kiume zinapotea kutokana mambo mbali mbali moja ni simu za mikono hizi haswa jinsi unavyoiweka , na mambo mengine mbali mbali
Simu za mikononi??? Tafadhari fafanua ili na sisi tusiojua tuweze kuelewa.
...Kang, nadhani bongo tunaendekeza sana mchezo wa uroda.....Kwenye olimpiki wangeweka huenda medali zingekuja kibao....Some ridiculous theory kuwa radiation ya simu inaua nguvu za kiume, totally baseless. Anyway hili suala ni dili everywhere not just TZ, angalia mauzo ya Viagra.
...Kang, nadhani bongo tunaendekeza sana mchezo wa uroda.....Kwenye olimpiki wangeweka huenda medali zingekuja kibao....
Nina swali lingine japokuwa lipo mbali kidogo na topic. Kwa nini wasichana wengi wanapenda Mijibaba yenye Ndoa Zao? Nini wanafuata huko wakati vijana rika lao lipo.
Mimi nina swali naomba kuuliza jamani ndugu zangu, hivi hili tatizo la NGUVU ZA KIUME ni deal sana hapa Tanzania???????????????? Maana kila tangazo la WAGANGA huwezi kukosa neno "TUNATIBU NGUVU ZA KIUME", Wamasai nao wamekuja na dawa za kuongeza nguvu za kiume, Sijawahi kuona wakisema TUNATIBU NGUVU ZA KIKE,
Nimeona nililete hili mbele yenu ili tuweze kujadili, hivi nguvu za kiume kwa wa Watanzania ni deal sana.
Nawakilisah!!!!!
Jibu katika picha.
Maji toka Ruvu-Ndoo Dar es Salaam.
Maji yakitoka kwa speed (velocity) ndogo akina mama huwa tunalalamikia kutojaa haraka. Mara nyingi ndoo hizi hutegemea matakwa ya mjazaji ambaye ni mtambo Ruvu. Katu hutasikia mwanamke akitibiwa nguvu za kike. Labda kama kuserebuka kitandani.
Jibu katika picha.
Maji toka Ruvu-Ndoo Dar es Salaam.
Maji yakitoka kwa speed (velocity) ndogo akina mama huwa tunalalamikia kutojaa haraka. Mara nyingi ndoo hizi hutegemea matakwa ya mjazaji ambaye ni mtambo Ruvu. Katu hutasikia mwanamke akitibiwa nguvu za kike. Labda kama kuserebuka kitandani.
Kumbe Bubu Msemaovyo ni mwana mama
Hakuna kupote kwa nguvu za kiume wala nini, tatizo waganga wengi wameshagundu WANAUME WENGI WAKITANZANIA wanatatizo la kisaikolojia inapofikia muda wa tendo la ndoa na hasa pale wanaume wanaposhindwa kujianda ipasavyo inapofikia tendo hilo.