Za leo wandugu wenzangu. Naomba ushirikiano kwenye hili swala and especially kwa mtu mwenye uhakika zaidi. Je dawa za nguvu za kiume za kienyeji au miti shamba (not from maabara eg viagra) zinamadhara yoyote kwa mtumiaji endapo atakapoanza kuzitumia!
Ndugu yangu, hakuna dawa hutakayo tumia ambayo haina madhara japo kidogo. Madhara hupatikana tu pale unapozidisha vipimo na kusahau ushauri wa mtaalam husika.
Wataalam wanasema matumizi ya madawa ya miti shamba (HERB) Huweza kuleta madhara makubwa sana kuliko matumizi ya madawa ya Hospital, kama hutaweza kufata ushauri vizuri.
FYI: Wagonjwa wa Akili waliotokana na uvutaji wa bangi, wameonekana ni agharabu sana kupona, kulinganisha na wavutaji unga (Heroine na ndugu zake wa mahabara).
Tafuta mtu akufahamishe matumizi ya asali na jinsi inavyoweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume.
__________________________________________________________________
Ancient civilization have been using honey for years in medicine to strengthen the semen of men. If impotent men regularly take two tablespoon of honey before sleeping, their problem will be solved. In China, Japan and Far-East countries, women who do not conceive and to strengthen the uterus have been taking cinnamon powder for centuries.
__________________________________________________________________
Matumizi zaidi ya asali na faida zake click here
Matumizi ya Asali Na Faida Yake
Hunaweza pia kufunguwa website hizi za kitabibu kwa Ushahuri na maalifa zaidi.
Hapa waweza kupata majibu na matibabu ya tatizo lako ("Disclaimer" Contain one NUDE Picture): Click here
Solve Erection Problems Now
Other websites:
Male Urogyy
NB:
Most men have experienced difficulties with erection at some time in their lives. Alcohol, tiredness, stress or simply not being in the right mood at the right time may all lead to failure to achieve or maintain an erection. The most frequent cause of temporary problems is anxiety...
Read more
What causes erection problem
Thanx
X-Paster