Waganga wa jadi wanaoiba nyota za watu hua wanafanyia nini?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Nyota yako mafanikio yako niliwahi kusikia pahala
Hawa waganga wezi wa nyota za watu hua wanazifanyia nini haswa?

Unakuta kijana anafanya mambo hayaendi kumbe wamepita nayo wajanja mbaya zaidi ukienda huko wanakueleza nyota yako haipo ukiwambia nielekeze huyo mtu aliechukua nyota yangu tukadiscuss maswala wagumu kusema .

Rafiki yako anaweza kukuzunguka akapita nayo unashangaa mwenzio mambo yananyooka kama rula wewe ni makandakanda tu .

Anaejua hawa waganga hizo nyota wanahamishaje anijuze kwanza maana
 
Acha utapeli dogo

Lipia tangazo la mganga.
 
Narudisha nyota,mpenzi,chuma ulete,biashara,utajiri nk. Karibuni kilingeni kigoma ujiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…