king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,639
- 2,066
Wanajamvi, kwanza kabisa nawatakia wiki njema yenye baraka kwa wale watakaopokea baraka mpya jumapili. Wenye uzoefu na waganga wa jadi wale wanaotibu magonjwa kwa kupaka dawa za kienyeji mwilini nataka kufahamu. Je hizo dawa zina ubora kweli? Na wanapowapaka watu, limit ni sehemu gani mwilini (manake kuna siku nililazimika kutolewa nje ili mganga amtibu rafiki yangu wa kike, nilishangaa sana kwa sababu inaoneka kama vile alimvua nguo zote.). Wazoefu naombeni msaada wenu.