Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waganga!wacheni utapeli na uongo jamani, pesa ni ngumu etii.
Kuna mama mmoja jirani yetu kaja kutusimulia kilichomkuta yani ni vituko.
Huyu mama ana matatizo ya uzazi kwa muda mrefu sasa.
Umri unakwenda na mtoto hajapata hivyo anajaribu kwenda sehemu tofauti tofauti ili na yeye aitwe mama siku moja,sasa ana rafiki yake akamshauri waende kwa mganga.
Kufika kule anakwambia watu walikuwa wamejaa sana.Kufikia zamu yake aliingia kwa huyo mganga ila hilo sharti alilompa hata sisi aliotuhadithia tulitoa vicheko sana.
Aliambiwa afanye kuhesabu hivi vidoti vyeusi mwilini tunavyoviita ndugu kisha akamwambie vipo vingapi mwilini kisha atampa dawa ya kupata ujauzito.
Hahaha kweli Waganga noma Sh. 2000 yake ya ramli ilienda bu
Naomba connection mkuu, nina shida kubwa sanaWaganga njaa ni wengi ila wa ukweli pia wapo lakini ni wachache,mimi nilikuwa siamini mpaka nilipompata mmoja wao