Waganga wa kienyeji acheni utapeli

Yupo jamaa mwanza ,kisesa hapo ,yule nguli nimemsahau jina ,enzi hizo nlienda na jamaa fulani alieenda kushughulikiwa mambo yake ,nilipatana na line ndefu ya wamama wenye kutafuta dawa hizi ,wengine wajawazito wamekuja kuleta shukrani sema hata jina simkumbuki
 
 
Waganga njaa ni wengi ila wa ukweli pia wapo lakini ni wachache,mimi nilikuwa siamini mpaka nilipompata mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…