Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ati mgombea mmoja wa urais waganga wake wamedhibitiwa na mmoja wa watu wake wa karibu kiasi kwamba ameambiwa hawezi kumtimua huyo jamaa kwa sababu akimtimua tu mambo yake yataenda kombo. Kumbe yule jamaa imedokezwa kuwa amewalipa waganga hao kiasi kikubwa cha fedha ili wamuambie mgombea huyo habari hizo kuwa "fulani ndiyo nyota yako, ukimuondoa tu na wewe umekwisha".
Ukiondoa huo baadhi ya wagombea wengine wameanza kutembelea "washauri hawa" kwani Sheria ya Gharama za Uchaguzi haikatazi gharama za ushauri!!!!
Mzee Mwanakijiji, habari hii haijakaa Ki Mwanakijiji, hii imekaa kwa stail ya magazeti pendwa (Udaku), ungeikikijisha japo kidogo, ifanane na Mwanakijiji Stlye unless kama ni Friday evening, but not for Monday morning.Ati mgombea mmoja wa urais waganga wake wamedhibitiwa na mmoja wa watu wake wa karibu kiasi kwamba ameambiwa hawezi kumtimua huyo jamaa kwa sababu akimtimua tu mambo yake yataenda kombo. Kumbe yule jamaa imedokezwa kuwa amewalipa waganga hao kiasi kikubwa cha fedha ili wamuambie mgombea huyo habari hizo kuwa "fulani ndiyo nyota yako, ukimuondoa tu na wewe umekwisha".
Ukiondoa huo baadhi ya wagombea wengine wameanza kutembelea "washauri hawa" kwani Sheria ya Gharama za Uchaguzi haikatazi gharama za ushauri!!!!
Huyo mgombea atakuwa anatoka katika chama jeuri 'CHADEMA'
Na hii yote ni ya wale wenyepesa na hawakubariki ndio kazi zao
sasa kama Kimbisa hakubariki Kondoa kwao kwanza, Jijini Dar hakubariki, Dodoma Mjini nako hakubariki analazimishia na kuwavuruga wanachama sasa wategemea ataacha kwenda kwa waganga wa kienyeji na kuhonga juu.
Jamini hizi siasa inaitaji ukalimu sana jamani kuongoza wananchi sio mchezo ati wao wanataka madaraka kwa nguvu zote
Huyo mgombea atakuwa anatoka katika chama jeuri 'CHADEMA'
Ni Pengo:focus:mgombea urais wa chadema ni nani