Waganga wa kienyeji wabadili mbinu baada ya hali kubana

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,437
Reaction score
1,883
waganga wa kienyeji huwa ni wajanja sana , wanatoa masharti magumu mara unyayo wa nani , mara nguo ya ndani sasa wamehamia kwenye kipengere kigumu mnooo,
jamaa kaenda anataka apatiwe dawa akaambiwa
dawa ipo ila sharti moja aoneshe hata kipande cha cheti cha mkuu wa mkoa maarufu
kashindwa, maana ni vigumu kukipata
 
Jini limekula mganga, sasa mkuu hapo umezungumzia nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…