Waganga wa ramli, changamkieni fursa ya kubet...

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Vijana wanapambana na hali yao,.. Biashara ya kubet ( bahati nasibu /kamali) imeshika kasi sana....
Na biashara hii huendana na kipindi kigumu cha kiuchumi, ndipo biashara hii hushika kasi...
Wataalam wa michezo ya bahati nasibu wanatumia fursa yao,...
Sasa ninyi ndg zangu wa Sumbawanga, wataalam wa kamati za sayansi za jadi, mnaoamini Kupitia lamri, inakuaje mnaziacha fursa hizi za pesa?
Kumbukeni babu wa Samunge kule Loliondo alivyopiga pesa Kupitia matatizo ya watu...
Wenzetu wanatumia fursa Kupitia mchezo huu kupiga pesa wakijifanya wao ni wataalam zaidi ya kutabiri " betting tips"... Na wadau hukimbilia huko wakiamini wao wana akili za ajabu sana...
Sasa wazee wa lamri iteni vijana muwaambie nyie mnaweza kupiga lamri ya mechi zaidi ya kumi na tano, kama hamtazikimbia pesa,...
Inakuaje lamri inatumika kujua mechi ya Simba na Yanga nani anafugwa, kama wanavyotutangazia akina GENTAMYCINE hapa jamvini, mnashindwaje kwenye mchongo wa mill. 210,000,000?
Au wazungu hawarogeki?... Iteni watu wamfilisi muhindi....
 
Unayajua vzuri majin ya muhind wewe.. wapga ramli wenyewe wanayakopa uko kwa kanji
 
Hawawezi kubashiri matokeo ya mechi Bali wanachoweza ni ramli chonganishi.
 
Kwakua kama kweli lamri ni za kweli, kwanini wasimkomoe muhindi? Hapa ndo nahakikisha hawa jamaa ni wababaishaji tu
 
Vijana wanapambana na hali yao,.. Biashara ya kubet ( bahati nasibu /kamali) imeshika kasi sana....
Na biashara hii huendana na kipindi kigumu cha kiuchumi, ndipo biashara hii hushika kasi...
Wataalam wa michezo ya bahati nasibu wanatumia fursa yao,...
Sasa ninyi ndg zangu wa Sumbawanga, wataalam wa kamati za sayansi za jadi, mnaoamini Kupitia lamri, inakuaje mnaziacha fursa hizi za pesa?
Kumbukeni babu wa Samunge kule Loliondo alivyopiga pesa Kupitia matatizo ya watu...
Wenzetu wanatumia fursa Kupitia mchezo huu kupiga pesa wakijifanya wao ni wataalam zaidi ya kutabiri " betting tips"... Na wadau hukimbilia huko wakiamini wao wana akili za ajabu sana...
Sasa wazee wa lamri iteni vijana muwaambie nyie mnaweza kupiga lamri ya mechi zaidi ya kumi na tano, kama hamtazikimbia pesa,...
Inakuaje lamri inatumika kujua mechi ya Simba na Yanga nani anafugwa, kama wanavyotutangazia akina GENTAMYCINE hapa jamvini, mnashindwaje kwenye mchongo wa mill. 210,000,000?
Au wazungu hawarogeki?... Iteni watu wamfilisi muhindi....
Lamri ndiyo nini?
 
Kuna jamaa yangu alienda kwa hao waganga lakini aliambulia patupu
 
Back
Top Bottom