Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Waganga wa tiba asili wakiongea na viongozi wa serikali leo mjini Sumbawanga wamesema kuwa wachungaji na manabii wa makanisa mengi ni matapeli.
Katika mkutano ulliowakutanisha viongozi wa serikali wa wilaya ya Sumbawanga wamesema chumvi na maji wanayowauzia waumini wao haina upako wo wote. Pia wamesema mara nyingi wachungaji na manabii hao huenda kwao kupata madawa ambayo huyatumia katika mahubiri yao.
Waganga wa tiba asili hao wanawashangaa wahubiri hao kuwazuia waumini wao kwenda kupiga ramli wakati wao wanapiga ramli makanisani. Wamedai wahubiri hao huenda kwao kupiga ramli na kutumia ramli hizo kwa waumini wao.
Waganga hao wamedai ramli haijazuiwa bali ramli chonganishi ndiyo iliyozuiwa.