Waganga wajitolea kumtibu Wema Sepetu

Waganga wajitolea kumtibu Wema Sepetu

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,648
Reaction score
18,742
Waganga wa kienyeji wanaotoka katika maeneo tofauti nchini Tanzania wamejitolea kumtibu Msanii WemaSepetu aweze kupata mtoto.

Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya Waganga hao waliojitolea walipiga simu kwa mtandao wa Bongo Movies.com baada ya kukiri kwa nyota huyo wa filamu kwamba hawezi kupata mtoto.

Wameapa kumtibu tatizo hilo.''Wajua kuna wanawake wanaopata matatizo madogo kama kutoweza kupata mtoto licha ya kwamba kuna matabibu wanaoweza kutatua matatizo yao.

Tatizo la wema sio la kumtia wasiwasi,linaweza kutibika''walisema. Mpatie nambari yangu ya simu na umwambie anipigiemmoja wa waganga hao alisema.

Na ili kutaka kujua vile Wema alijibu ombi hilo ,inadaiwa kuwa alikubali kusaidiwa na watabibu hao lakini kwa masharti. ''Kuna wengi zaidi mbali na waganga ambao wamejitolea kunisaidia.Nina zaidi ya ujumbe 400 niliyotumiwa katika mtandao wangu wa WhatsApp huku simu nyingi zikipigwa.

Ukweli ni kwamba niko tayari kupokea usaidizi huo.'',alijibu.


Chanzo: BBC Swahili
 
Sipendi watu wanaoamini waganga dah!! Binadamu imani sijui imeenda wapi yani bora asieamini kuna mungu kuliko anaesali kila siku na bado kwa waganga yumo.
😁😁😁
 
Una uhakika gani? Wote ambao hawapati watoto sababu ni hiyo tu?

Yani sijui anapokuwaga anaabort hizo mimba anawaambiaga au wanamsindikiza .... Watu kwa kufikia miafaka kwenye pasipo....
 
Yani sijui anapokuwaga anaabort hizo mimba anawaambiaga au wanamsindikiza .... Watu kwa kufikia miafaka kwenye pasipo....

Si alisema yeye mwenyewe kwamba katoa mimba ya the great....sasa kama alishika ile kwa nini asishike na nyingine
 
Wema atumie bongo yake kwenye hilo la kutibiwa na waganga wanaume hapa Afrika ya mashariki.Baadhi ya hawa waganga ni tamaa tu za kiume. Nina uhakika moja ya dawa atakayoambiwa Wema ni kupokea dushe la mganga lililopakwa 'dawa'
Be on your alert Wema!
 
Si alisema yeye mwenyewe kwamba katoa mimba ya the great....sasa kama alishika ile kwa nini asishike na nyingine

Nasemea wanaoconculude eti mwanamke asipopata mimba tiari kaabort.... 4 sure wanaboa

Huyo wema Mungu amsaidie ikiwa ni pamoja na kumsamehe kama kweli aliabort hiyo mimba
 
hakuna lolote hao wanataka tengeza pesa tu wema usiwaamini muombe MUNGU atakujaalia utazaa tu.
 
Back
Top Bottom