NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nitasikitishwa sana Kama kombe la shirikisho litakwenda Algeria wakati Kuna kamati za ufundi za ufundi za Simba na Yanga huwa zinakesha kwa mkapa na muda mwingine huwa zinagombea kuulinda uwanja kwa hali na Mali.
NALIA NGWENA nitafurahi sana hizi kamati zitakapounganisha nguvu ili kulipambania Taifa kombe libaki Tanzania kwa masilahi mapana ya Taifa.
Niwaombe waganga waote nchini mliojisajili na msiojisalijili kupitia kwenye ofisi za wizara ya utamaduni Sanaa na michezo huu ndiyo muda wenu wakuonesha namna gani mna umuhimu mkubwa katika hili Taifa na hakikisheni Mwarabu anapigwa tano kwa mkapa.
Kila la heri kwenu NALIA NGWENA naamini kabisa hamtotuangusha katika hili.