Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Naona ni wakati sahihi wa tuzo zinazotolewa ndani ya bongo waige mfumo wa tuzo za mtv kura si kigezo sana cha msanii kushinda tuzo ukiangalia hapa bongo ndo tunachobugi
Mfano kwa bongo wasanii diamond na alikiba ndo wenye funbase kubwa kwenye ugawaji wa tuzo ndo tunapoharibu msanii anachukua tuzo saba pekeyake kwa kigezo cha kupigiwa kura nyingi kumbe kuna vigezo kwa mwaka jana mtunzi bora anapewa diamond baada angepew barnaba msanii bella kutoa nani kama mama ilifanya vizuri lakini bado hakuambulia chchote wagawaji wa tuzo za mtv wameonesha ubora zaidi na haki imetendeka wa washindi wote walistahiri jana japo sisi ndo tuliongoza kupigia kura wasanii wetu
Naomba na kituo cha eatv kinacholeta tuzo kwa mara ya kwanz naomba nao wafanye haki kwa kila msanii yasije yakatokea yale yale msanii kuchukua tuzo kwa kigezo cha kura pekeyake