Wagawaji tuzo tz wajifunze kwa mtv

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Naona ni wakati sahihi wa tuzo zinazotolewa ndani ya bongo waige mfumo wa tuzo za mtv kura si kigezo sana cha msanii kushinda tuzo ukiangalia hapa bongo ndo tunachobugi
Mfano kwa bongo wasanii diamond na alikiba ndo wenye funbase kubwa kwenye ugawaji wa tuzo ndo tunapoharibu msanii anachukua tuzo saba pekeyake kwa kigezo cha kupigiwa kura nyingi kumbe kuna vigezo kwa mwaka jana mtunzi bora anapewa diamond baada angepew barnaba msanii bella kutoa nani kama mama ilifanya vizuri lakini bado hakuambulia chchote wagawaji wa tuzo za mtv wameonesha ubora zaidi na haki imetendeka wa washindi wote walistahiri jana japo sisi ndo tuliongoza kupigia kura wasanii wetu
Naomba na kituo cha eatv kinacholeta tuzo kwa mara ya kwanz naomba nao wafanye haki kwa kila msanii yasije yakatokea yale yale msanii kuchukua tuzo kwa kigezo cha kura pekeyake
 
Sasa kama kura haziamui kwa nini unapiga kura?
 
Wenye IQ kubwa kama yangu wakiusoma uzi wako kwa UMAKINI wataelewa MANTIKI yako ni nini,ila bado ni asubuhi ngoja nikimbizane na pesa nitakuja kukuweka sawa na huu uharo wako.
 
Sasa kama huna mafanikio tutajuaje kama wewe ni msanii bora!?...msanii bila funbase bora kuuza karanga
 
... tuzo za mtv wameonesha ubora zaidi na haki imetendeka wa washindi wote walistahiri jana japo sisi ndo tuliongoza kupigia kura wasanii wetu
Unafahamu criteria zao za nyuma ya pazia? Sina uhakika kwa MTV MAMA per se lakini kwa baadhi ya tuzo za MTV, sponsor ndie mwenye kauli ya mwisho na sio mpiga kura. Hapa ndipo unapoweza kuona anachoongea Eddy Kenzo ingawaje inaweza kuonekana ni maneno ya mkosaji lakini NI KWELI BAADHI YA MTV AWARDS, Sponsor ndie ana final say! Sasa kama upo kwenye category ambayo mshindani wako ni brand ambassador wa sponsor husika, keep on praying sponsor asitumie its exclusive right to select a winner. Tena ukipitia some of MTV Awards Voting Rules, wanaweka wazi kwamba "Sponsor reserves the right to select the winners at its discretion...!" Na endapo upigaji kura unaharibika kwa sababu yoyote ile, Sponsor ana haki ya kumchagua anayeona yeye ndie mshindi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…