Wamehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Kikwete wageni kadhaa kutoka nje ya nchi. Kama matokeo ya uchaguzi yametangazwa jana, ina maana mpaka hapo jana (katika hali ya kawaida ya demokrasia) ni NEC tu ilijua mshindi. Leo mshindi(shwa) ameapishwa. Hao waliohudhuria kutoka nje ya nchi, tena kwa kufuata protocols za uwakilishi wa serikali zao mwaliko waliupata lini?
Wageni hao hukaribishwa na waziri wa mambo ya nje anayemaliza muda wake kwa niaba ya rais. Kumbukeni hakuna wakati wowote ambapo nchi inakuwa haina rais. Kwa hiyo hata kama hiyo jana angetangazwa Slaa, wangekuja kama walivyokuja. Sio wageni wa Kikwete, ni wageni wa rais.

unajuaje kama slaa angetangazwa sherehe zingekuwa jmosi? haraka ya nini?
hoja hapa sio wageni ni wa nani? jitambue swala la msingi hapa kuna mambo ya logistics kma vile booking kwa ajili ya ugeni na ikumbukwe nec hawakuwa na dead line ya kutangaza matokeo yao it is a shame! there was something fish going on btn ccm and nec! soon and very soon you will get what you deserve poor ccm!:doh: