kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 563
- 1,416
Nimeletewa kisa ndugu wa mume katembelea hii family ila baada ya siku chache tu anawanunia wenyeji wake, lakini pia nimeshaona na kusikia pia sehemu tofautitofauti. Naomba mnisaidie hivi hii hali ya kutokuelewana kati ya wenyeji na wageni hivi inasababishwa na nini.
a/Wewe umetembelea mahali mwanzoni utapafurahia lakini unapokaa kwa muda siku ya nne tu unapachukia na pengine kuwachukia wakazi wa hapo,hivi huwa nini hiki. Imeshawahi kukutokea?
b/ Umepokea wageni lakini muda mfupi baadae mnakwaruzana, je ni nini husababisha hali hii.