kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 563
- 1,416
Daaahhh, mh mjumbe uneupiga mwingi sana, magoli 4 kwa nunge[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unakuta mgeni amekuja alafu ikifika jioni anatoka kwenda kulewa na anarudi saa nane za usiku, yaani baba mwenye nyumba ndipo aamke kwenda kumfunguli geti/mlango na asubuhi anaamka saa nne kisha anaulizia kama chai ishapikwa...[emoji23][emoji23]
Upo sawa sana mh mjumbe, siunajua ngariba haogopi kumwagikiwa na mkojo...ππDaaahhh, mh mjumbe uneupiga mwingi sana, magoli 4 kwa nunge[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante sana kwa muongozo huu.
NB: Ukiwa mahali/ugenini fuata taratibu za huko(ugenini). Ili kufanikiwa kwa hilo, ukifika sehemu husika dadisi namna watu wanavyoishi na wewe uige hiyo namna hadi pale utakapoondoka ukaishi kwa namna yako huko kwingine(kwako)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Upo sawa sana mh mjumbe, siunajua ngariba haogopi kumwagikiwa na mkojo...[emoji12][emoji12]
Dah hapa lazima mambo yavurugikeUnakuta mgeni amekuja alafu ikifika jioni anatoka kwenda kulewa na anarudi saa nane za usiku, yaani baba mwenye nyumba ndipo aamke kwenda kumfunguli geti/mlango na asubuhi anaamka saa nne kisha anaulizia kama chai ishapikwa...ππ
Hapa lazima mgeni anune na akawatangazie ubaya!!!Maranyingi shida huanzia pale mgeni anapotaka kuishi kwa wenyeji kwa kufuata taratibu zake yeye. Yaani mwenyeji anataka aishi kwenye familia ya watu wengine kama anavyotaka yeye ama kwa wenyeji wafuate utaratibu wa mgeni...teh[emoji23]
Yaani unakutwa bwana shemeji/kaka wa mke, amekaa sebuleni tena yupo kifua wazi na chini amefaa kinyasa alafu ameshikilia na rimoti...[emoji12][emoji12]
Hapo ndipo ugomvi huanza na watoto kumchukia uncle kwa kujimilikisha tv...[emoji28][emoji28]
Huyu atalala nje.Unakuta mgeni amekuja alafu ikifika jioni anatoka kwenda kulewa na anarudi saa nane za usiku, yaani baba mwenye nyumba ndipo aamke kwenda kumfunguli geti/mlango na asubuhi anaamka saa nne kisha anaulizia kama chai ishapikwa...[emoji23][emoji23]
When in Rome, do as the Romans do.Maranyingi shida huanzia pale mgeni anapotaka kuishi kwa wenyeji kwa kufuata taratibu zake yeye. Yaani mwenyeji anataka aishi kwenye familia ya watu wengine kama anavyotaka yeye ama kwa wenyeji wafuate utaratibu wa mgeni...tehπ
ππ ndiyo maana huwa sipendi kwenda kwa watu, na nikienda mimi ni mpole balaaKatika kuhusiana baina ya pandd mbili kuna hii sheria ya 3days, 3weeks, 3month na 3 years .....