Wageni waalikwa katika mikutano mikuu ya Chadema na CCM January 2025

Hao wageni walisaidia sana CCM na maporisi wasiingie ndani kuharibu uchaguzi. Waliohopa macho ya kimataifa. Nadhani wasingekubali mambo yaishe kwa CDM kubeba credits
 
Hao wageni wa CCM ni sumu maana wanapiga kura, na Wana watu wakuwashawishi wakapige kura hata kama......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…