Wageni wafurahishwa na mapokezi jijini Arusha mkutano wa IPU

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Baadhi ya Wabunge na Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, wameeleza kufurahishwa na mapokezi wakati wakiingia nchini kushiriki mkutano huo wa 153 unaotarajiwa kuanza Oktoba 5-9, 2026 pamoja kuipongeza Serikali na Bunge la Tanzania kwa maandalizi makubwa ya Mkutano huo ambayo mpaka sasa yamekamilika.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…