Wagner wakumbwa na matatizo ya hela, mishahara imekuwa tafrani

Taarifa za nyumba ya bwana John zinatolewa na mke wa bwana Hamisi
 
Kwani Niger haijawalipa?
 
Hawana ajira hela watapata wapi., walimgeukia boss wao Putin sasa wameondolewa kazini na huyo boss mwenyewe naye taaban nafsi yake
 
Huku Africa wamepewa kandarasi nyingi sana za ulinzi na bado wanamiliki maliasili ina maana hata hiyo haiingizi pesa ?
 
Huku Africa wamepewa kandarasi nyingi sana za ulinzi na bado wanamiliki maliasili ina maana hata hiyo haiingizi pesa ?

Ndio zilitumika kugharamikia vita vya Ukraine, kwa sasa wameishiwa kote kote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…