Uchaguzi 2020 Wagomba Urais CHADEMA hawana mvuto?. CHADEMA inakosa Mvuto?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.

Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?

Ni chama ana watia nia wenyewe?.

Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.

Naombeni ufafanuzi tafadhari.
 
Rais ni Dr. John Joseph Pombe Magufuli hadi 2025.

Kwenye msafara wa Mamba kenge hua hawakosi.
 
Wote wameoa wana wake zao mvuto hauna haja inakubidi utafute bwana mwingine bibie
 
Naunga mkono hoja,hakuna atakayeweza kushindana na 'YESU'.

Labda huko Mbinguni.
 
CDM tatizo lao wanashindwa kusoma upepo ulivyovuma jana na leo.
 

Membe atagombea kwa tiketi ya chama gani?
 
Upepo huu utatulizwa na 'YESU' kama alivyotuliza ile mashua wkt ikipigwa na dhoruba kali.
Unahangaika sana mkuu, huyo Yesu nenda ukawe unamjadili jukwaa la dini
 
Membe atagombea kwa tiketi ya chama gani?
Sina uhakika,
Lakini nazania kwa haraka haraka atahamia CDM ama ACT ili kukidhi matamanio yake lakini naamini ndio utakuwa mwisho wake kisiasa pia.
 
CDM tatizo lao wanashindwa kusoma upepo ulivyovuma jana na leo.
Ni kweli, Unajua shida ni kwamba huwezi waambia wananchi utajega reli ama barabara. Huwezi waambia utajenga vituo vya afya.
Huwezi waambia maswala ya maji .. JPM kila kona yupo.

Hapa ndipo wana nchi hawaelewi kabisa nini wapinzania watakuja nacho.
 
This time adabu mtaipata...ushindi wa wizi haupo!!

Kama mbwai basi ni lazima iwe mbwai....!! Uhuni uhuni this time big NO.
 
This time adabu mtaipata...ushindi wa wizi haupo!!

Kama mbwai basi ni lazima iwe mbwai....!! Uhuni uhuni this time big NO.
Unauhakika gani ndugu?

Hii bongo kweli unaitabilia haya yote?
 
Awakooromantickisaaaa





Awakoromantikabisaa watakuwaaa WANAKUNYWA safari KUBWA hawaa
 
UVCCM waapa kumlinda Mwenyekiti na Rais wa JMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…