Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwa mujibu wa Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA), Twaha Mwaipaya, amesema, Wagombea 20 wa CHADEMA katika Kata ya Mwaya, Jimbo la Kilombero, wapo magereza baada ya majina yao kuenguliwa bila rufaa wala pingamizi tarehe 18 Novemba. Viongozi na wanachama hao, walipoenda ofisi ya mtendaji kudai majina hayo, walielezwa kuwa mtendaji wa kata, Acrey Mhenga, ndiye aliyefanya maamuzi hayo.
Baada ya kutokea mzozo, viongozi na wanachama walikamatwa, kupigwa, na kufunguliwa kesi ya jinai ya kumtishia mtendaji. Mpaka sasa, wanachama hao wapo magereza, huku wafuasi wao wakiahidi kuendelea kuwaunga mkono.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024