Wagombea na wapambe wa wagombea CHADEMA tuelezeni sera zenu

Wagombea na wapambe wa wagombea CHADEMA tuelezeni sera zenu

primaquin

Senior Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
156
Reaction score
90
Wagombea na Wapambe wa wagombea chadema wamekuwa zaidi wakitupiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari!

Kwa mustakabali wa maendeleo ya chama CHADEMA ni busara wakatwambia ni nini watafanya badala ya maneno matupu.

Thabo mbeki aliwa hi kusema "don't tell us why you want be a leader , tell us the difference you will make"
 
Back
Top Bottom