Kura za maoni ni utaratibu wa fisiemu. Wengine wana taratibu zao. Unakumbuka takrima?CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Mnasubili makapi ya CCM hamna lolote!Umeonesha concern yako kama vile hujui kilichokuwa kikiendelea. Act wazalendo na Chadema vinahitaji only 24 hrs kubadilisha yoote wengine waliyo yafanya kwa four years.
Bodaboda tano tu zikifungwa bendera za chadema na zile motokari saafi nyeupe zilizoandikwa M 4 C mbili tu zinatosha kugeuza meza.
Muda utasema ukweli
Wanasubiri makapiCHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Kamanda jenga hoja kistaarabu hata kama imekuchomaHayakuhusu, mambo yetu hatufanyii kwenye vyombo vya habari. Punguza umbea dada mwishowe utakuwa kama Kigogo 2014
HahaaaaaWanasubiri makapi
Ulizia jinsi watu wanavyofurumishwa kwenye vikao kila siku. Kuna wilaya viongozi wapo ndani kwa kuitisha vikao vya uteuzi. Nani hapendi familia yake. Chama ni kimoja na kitadumu mpaka Yesu arudi point.!!!!!!! Wajinga ni wale watakaong'ang'ania mfumo wa vyama vingi. Tupo China hapa na Korea Kaskazini. Tunataka viwanda siyo siasa.Mtatoa visingizio wee muda unaenda hivyo
Ukimwita mbweha (wild dog) umempandisha daraja maana yule mnyama mjanja yupo tayari kugombana na simba ili apate chake. Huyu ni fisi anasubiri wenzie waue yeye atafune. Alishinda zamani na hana mpinzani ila sijui huwa anakuwa na viherehere vya nini? Kila siku kuanzisha nyuzi kuhusu Chadema na ACT. ina maana pesa anazopata hazitoshi? Nawasikitikia wale wanaong'ang'ania vyama. Wenzao tuliviacha tangu 1967 tulipoona havifurukuti. Kikadumu na kitadumu mpaka kizazi cha mafisi kiishe.Inakuhusu nini wewe Mbweha ?
Ahsante MkuuUkimwita mbweha (wild dog) umempandisha daraja maana yule mnyama mjanja yupo tayari kugombana na simba ili apate chake. Huyu ni fisi anasubiri wenzie waue yeye atafune. Alishinda zamani na hana mpinzani ila sijui huwa anakuwa na viherehere vya nini? Kila siku kuanzisha nyuzi kuhusu Chadema na ACT. ina maana pesa anazopata hazitoshi? Nawasikitikia wale wanaong'ang'ania vyama. Wenzao tuliviacha tangu 1967 tulipoona havifurukuti. Kikadumu na kitadumu mpaka kizazi cha mafisi kiishe.
Usilojua ni usiku wa giza,wachaga wanapatikana moshi,manispaa ya moshi ni ya chadema lkn 75 ya madiwani wa chadema sio wachaga wachaga hawazidi wanne huo ukabila uko wapi?Huko wanachaguana kwa makabila kama chadema kama sio mpare au mchaga hupati nafasi
Act wazushi wao wanaangalia kama unatokea kigoma au zenji unapewa kipaumbele
Tanzania upinzani hakuna wanasubiria uzushi na umbea wanaugeuza Ajenda
Nani atawapa dhamana ya kuwaongoza
Waitara, Anna yule wa Arusha mpaka wanapewa uwaziri na ukuu wa mikoa wakati wafia chama mpo? What is that? Mimi siku nikianzisha chama changu nitatafuta watu ambao hawajawahi nunua kadi kwa chama chochote.Mnasubili makapi ya CCM hamna lolote!
Unataka uone kupitia TBC 1?CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Sasa kama maccm yametuzuia tusifanye mikutano hata ya ndani unataka wapatikane kwa utaratibu gani ?CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Nimecheka sana,watakuwa hawajajifunza tu?.Wanasubiri watakaokatwa CCM.
Mnafurahia wakikaa mahabusu bila makosa.Mtatoa visingizio wee muda unaenda hivyo
Mtasubiri sana,hakuna mgombea mtakayemuona mwaka huu.waliteuliwa na ccm ndio hao hao wameshapitishwa hakuna kupigiwa kura wamepita bila kupingwa.Inakuhusu nini wewe Mbweha ?
Unanyege na unajitia dole Mwenyewe naonaMtasubiri sana,hakuna mgombea mtakayemuona mwaka huu.waliteuliwa na ccm ndio hao hao wameshapitishwa hakuna kupigiwa kura wamepita bila kupingwa.