Mbona unaidhalilisha ofisi ya msajiri wa vyama Vya siasa? Unamaanisha.msajiri aliyewekwa na serikali anasajiri vyama Vya ukabila?Kama ndo hivyo basi kashindwa kazi aliyopewa na serikali.Huko wanachaguana kwa makabila kama chadema kama sio mpare au mchaga hupati nafasi
Act wazushi wao wanaangalia kama unatokea kigoma au zenji unapewa kipaumbele
Tanzania upinzani hakuna wanasubiria uzushi na umbea wanaugeuza Ajenda
Nani atawapa dhamana ya kuwaongoza
Nimesikia kuna operation kamata vyombo vya moto vitakavyovunja sheria ya usalama barabarani na madereva kunyang'anywa leseni. Nadhani hawa watahusika nahii operation.Umeonesha concern yako kama vile hujui kilichokuwa kikiendelea. Act wazalendo na Chadema vinahitaji only 24 hrs kubadilisha yoote wengine waliyo yafanya kwa four years.
Bodaboda tano tu zikifungwa bendera za chadema na zile motokari saafi nyeupe zilizoandikwa M 4 C mbili tu zinatosha kugeuza meza.
Muda utasema ukweli
Wanatumiwa SMS. Wenye bahati wanapigiwa simu na kuambiwa,"...Utagombea Mtaa wa Sangamwalughesha. Peoples!" Unaitikia, "Power!!!!"CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Vp kuhusu kina Waitara na wenzie? Au wao hawajawapita wale wafia chama?Hii ndiyo kawaida.
Na kuacha waliosota kwenye chama
Tuliza kishundu dada uzae salamaKamanda jenga hoja kistaarabu hata kama imekuchoma
kichadema chadema una ''akili'' sana.Tuliza kishundu dada uzae salama
Kiccm ccm wewe ni jamvi la wageni.kichadema chadema una ''akili'' sana.
dogo kama una hata cheti cha mgambo nikutafutie kibarua cha ulinzi upate angalau kipato kuliko kukaa bure,itakusaidia kupunguza jazba.Kiccm ccm wewe ni jamvi la wageni.
Utakianzisha katika nchi ya kusadikika.Waitara, Anna yule wa Arusha mpaka wanapewa uwaziri na ukuu wa mikoa wakati wafia chama mpo? What is that? Mimi siku nikianzisha chama changu nitatafuta watu ambao hawajawahi nunua kadi kwa chama chochote.
Kwani sitayari washindi washajulikana wao yanini wapoteze mda wao ambao kura yao haiesabiwi na haina thamani la msingi omba dua kwa sana maana Giza ninene limetanda kila sehemCHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Ninaajiri zaidi ya watu ishirini kama vipi njoo na wewe upate ajira kuliko kuinamishwa inamishwa hapo Lumumba.dogo kama una hata cheti cha mgambo nikutafutie kibarua cha ulinzi upate angalau kipato kuliko kukaa bure,itakusaidia kupunguza jazba.
CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Wao wanachaguana kwenye twitter na instargram ndio utaratibu wao!
CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Sasa utaonaje wakati wewe si mwanachama wa hivyo vyama