Elections 2010 Wagombea ubunge Arusha wajinadi siku ya wazee dunia.

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Leo wagombea ubunge Arusha mjini walishiriki kuadhimisha siku ya wazee duniani kwa kushiriki maandamo yaliyoanzia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha.Wagombea ubunge wa vyama vya Demokrasia makini,CUF na CHADEMA hawakushiriki maadhimisho hayo pamoja na kuarifiwa kwa barua.

Wagombea ubunge wa vyama vya TLP Bwana Lyimo na CCM Mama Batilda Buriani walishiriki maandamano hayo yaliyowashirikisha wazee kutoka kata zote za Arusha mjini.Wagombea wote walitumia fursa hiyo muhimu kunadi sera za vyama vyao.
 
Midahalo wanaogopa lakini ukiwaambia maandamano wanakwenda kwavile huko ni kutembea tu hakuna kuulizwa maswali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…