Y Yetu Macho JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 224 Reaction score 32 Feb 10, 2010 #1 Wakuu nawakaribisha wote wenye nia ya kugombea ubunge wajitokeza hapa wakielezea nia yao, vyama na majimbo yao ili Great Thinkers tuweze kusaidiana mawazo na mikakati kuhakikisha ndugu hawa wanatimiza adhma za kulikomboa taifa hili.
Wakuu nawakaribisha wote wenye nia ya kugombea ubunge wajitokeza hapa wakielezea nia yao, vyama na majimbo yao ili Great Thinkers tuweze kusaidiana mawazo na mikakati kuhakikisha ndugu hawa wanatimiza adhma za kulikomboa taifa hili.