Wagombea ubunge & udiwani ACT Wazalendo na CHADEMA, wajaze fomu mbele ya wanasheria

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Wadau wote wa uchaguzi mkuu hasa vyama vya siasa CHADEMA na ACT Wazalendo tafadhali sana wakati wa kujaza fomu ni muhimu wakasaidiwa na wanasheria ili kupuka kuwekewa mapingamizi kwa makosa madogo madogo.

Mfano katika uchaguzi mkuu uliopita kuna mgombea udiwani wa CHADEMA alienguliwa kwasababu ya kuandika CDM badala ya CHADEMA.

Kwakuwa Katibu Mkuu Mnyika yupo ofisini full time ni vyema na bora akatengeneza utaratibu wa wagombea wote wanajaza form bila makosa kuepuka kuenguliwa. Pia lipa suala la kuunga mkono juhudi ni vyema likatazamwa kwa umakini.
 
Wadau wote wa uchaguzi mkuu hasa vyama vya siasa CHADEMA na ACT Wazalendo tafadhali sana wakati wa kujaza fomu ni muhimu wakasaidiwa na wanasheria ili kupuka kuwekewa mapingamizi kwa makosa madogo madogo.

Mfano katika uchaguzi mkuu uliopita kuna mgombea udiwani wa CHADEMA alienguliwa kwasababu ya kuandika CHADEMA badala ya CHADEMA.

Kwakuwa Katibu Mkuu Mnyika yupo ofisini full time ni vyema na bora akatengeneza utaratibu wa wagombea wote wanajaza form bila makosa kuepuka kuenguliwa. Pia lipa suala la kuunga mkono juhudi ni vyema likatazamwa kwa umakini.
Toa sasa wewe tofauti ya CHADEMA na CHADEMA
 
Back
Top Bottom