Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Jun 26, 2020 #41 tindo said: Ukiziba matundu kwenye katiba ya nchi, huwezi kuona katiba za kihuni za vyama. Click to expand... Hakuna katiba inayoruhusu wizi na ufisadi Tusikwepe uwajibikaji Tusafishe wanasiasa wafujaji na wezi ili waliobaki watupe katiba safi
tindo said: Ukiziba matundu kwenye katiba ya nchi, huwezi kuona katiba za kihuni za vyama. Click to expand... Hakuna katiba inayoruhusu wizi na ufisadi Tusikwepe uwajibikaji Tusafishe wanasiasa wafujaji na wezi ili waliobaki watupe katiba safi
Chagu wa Malunde JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,746 Reaction score 5,772 Jun 26, 2020 #42 tindo said: Hakuna uwezekano wa hilo kutokea. Hizo mbinu zinatumika ili kuzuia kushitakiwa. AG anateuliwa na rais, tena hata uchaguzi wenyewe huwa ni wa hisani, hapo unategemea nini? Click to expand... Kwani wewe kama umikidhi vigezo vya kushitaki mahakama itakataa? We unamshitaki kiongozi kupitia kwa Ag. Jambo la kawaida.
tindo said: Hakuna uwezekano wa hilo kutokea. Hizo mbinu zinatumika ili kuzuia kushitakiwa. AG anateuliwa na rais, tena hata uchaguzi wenyewe huwa ni wa hisani, hapo unategemea nini? Click to expand... Kwani wewe kama umikidhi vigezo vya kushitaki mahakama itakataa? We unamshitaki kiongozi kupitia kwa Ag. Jambo la kawaida.
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Jun 26, 2020 #43 chagu wa malunde said: Kwani wewe kama umikidhi vigezo vya kushitaki mahakama itakataa? We unamshitaki kiongozi kupitia kwa Ag. Jambo la kawaida. Click to expand... Mahakama ipi labda? Kama ni mahakama ya nje hapo sawa, sio hizi.
chagu wa malunde said: Kwani wewe kama umikidhi vigezo vya kushitaki mahakama itakataa? We unamshitaki kiongozi kupitia kwa Ag. Jambo la kawaida. Click to expand... Mahakama ipi labda? Kama ni mahakama ya nje hapo sawa, sio hizi.
K Kigera Kwetu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,566 Reaction score 1,403 Jun 27, 2020 #44 Agogwe said: wa viti maalum Click to expand... Utapataje ubunge wa viti maalum kama hakuna mbunge wa kuchaguliwa....?
Agogwe said: wa viti maalum Click to expand... Utapataje ubunge wa viti maalum kama hakuna mbunge wa kuchaguliwa....?
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 Jun 27, 2020 #45 Wakihama watoweze tu duniani