Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Nov 3, 2010 #1 Naomba sana wabunge wa upinzani tukatae kurudia kuhesabu kura kwa wale majimbo yao hayajatangazwa, ni hatari sana ni sawa na kushika waya wa umeme bila rubber gloves.
Naomba sana wabunge wa upinzani tukatae kurudia kuhesabu kura kwa wale majimbo yao hayajatangazwa, ni hatari sana ni sawa na kushika waya wa umeme bila rubber gloves.