Uchaguzi 2020 Wagombea Udiwani wa CHADEMA Handeni Vijijini wagomewa kula kiapo

Mlokole Mahiri

New Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
3
Reaction score
22
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.

Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
 
Safari hii tuko tayari kupambanao. Tutakula nao sahani moja. Nchi hii ni yetu SOTE.
 
CHADEMA mnalialia sana. Maana kama hakimu hayupo mnataka kuape tu?
 
Huyo hakimu ni mpuuzi, hao madiwani wasikubali kurudi nyuma, wapiganie haki yao mpaka waipate kwa wakati.
 
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.

Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Haya sasa yale yaleeeeee..
Ujinga unarudi tena
 
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.

Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Si wamtafute tu mwanasheria aliye na muhuri
 
wa CCM wameshaapa!! nani kawaapisha?
Si wamtafute tu mwanasheria aliye na muhuri
Kwa mahakama gharama ni bure ama tozo kidogo sana , ila kwa Mwanasheria bila 30,000 hagongi muhuri wake.
 
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.

Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Kwani kuapa kuna masharti gani hadi Hakimu akimbie?? Anataka uteuzi wa ujaji mwakani??
Ukute ndio wewe hakimu wa Handeni unajipa promo hapa.
 
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.

Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Siro awakumbushe NEC mambo kama haya ambayo baadaye huzua vurugu na mauaji kama ya Akwilina.
 
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.

Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Endeleeni kutoa taarifa zote chafu kila mnapozipata
 
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.

Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Wadhamini 20 kila mmoja achange 1000 itatosha kupata kiapo.
 
Back
Top Bottom