Mlokole Mahiri
New Member
- Jun 7, 2020
- 3
- 22
Safari hii tuko tayari kupambanao. Tutakula nao sahani moja. Nchi hii ni yetu SOTE.Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Hiyo hakimu aliyepo kwanini asiwaapishe hao madiwani? acheni ujinga wenu.CHADEMA mnalialia sana. Maana kama hakimu hayupo mnataka kuape tu?
Haya sasa yale yaleeeeee..Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Si wamtafute tu mwanasheria aliye na muhuriJimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Mbona wa ccm kawaapisha ina maana hakimu wa ccm na wa upinzaniCHADEMA mnalialia sana. Maana kama hakimu hayupo mnataka kuape tu?
Amewaapisha hao ccm wakati hayupo? Ina maana CDM wamemuona anawaapicha ccm hapo hapo na wao wapo ila anasema hayupo?Mbona wa ccm kawaapisha ina maana hakimu wa ccm na wa upinzani
wa CCM wameshaapa!! nani kawaapisha?Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Kwa mahakama gharama ni bure ama tozo kidogo sana , ila kwa Mwanasheria bila 30,000 hagongi muhuri wake.Si wamtafute tu mwanasheria aliye na muhuri
Inategemea na uhusiano wako na huyo mwanasheriawa CCM wameshaapa!! nani kawaapisha?
Kwa mahakama gharama ni bure ama tozo kidogo sana , ila kwa Mwanasheria bila 30,000 hagongi muhuri wake.
Kwani kuapa kuna masharti gani hadi Hakimu akimbie?? Anataka uteuzi wa ujaji mwakani??Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Hiyo hakimu aliyepo kwanini asiwaapishe hao madiwani? acheni ujinga wenu.
Siro awakumbushe NEC mambo kama haya ambayo baadaye huzua vurugu na mauaji kama ya Akwilina.Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Endeleeni kutoa taarifa zote chafu kila mnapozipataJimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Wadhamini 20 kila mmoja achange 1000 itatosha kupata kiapo.Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Kama hakimu hayupo wataapishwa na Nani?pumbafu wewe ccm waapishwe chadema hakimu hayupo acheni siasa za kishamba hizo