Kama hujui,kuna kundi kubwa la wapiga kura ambao huwa "undecided"!Hawa ndio huwa walengwa wa kampeni za uchaguzi!
Achana na makada ambao ije mvua lishuke jua wao huchagua chama chao!
So uzi wako ni upotoshaji mkubwa na hauna back up ya kiutafiti!
Jipangeni kuandika mada za maana na zenye ukweli JF iwe na hadhi na heshima kama zamani!
Unataka uaminiwe kama nani labda au kwa fact na data zipi ama kwa tafiti gani uliyofanya?Amini nakuambia nakuambia pattern ya mwaka huu haitafuata patterns za 'undecided' zilizo kichwani mwako. Makundi yote yameishaamua mpaka leo hii.
Unataka uaminiwe kama nani labda au kwa fact na data zipi ama kwa tafiti gani uliyofanya?
We mwenyewe hujiamini na Id yako feki afu unaongea kizembe tu uaminiwe.
[/QUOTE
Ewe mwenye verified ID, dhambi yangu ni ipi hapo? Jenga hoja na data zako usilete povu
magufuli siyo wa kufanya naye kazi kwa karibu kwa nafasi hiyo ya waziri mkuu aisee.Ningependa sana Rais awe Tundu Lissu halafu waziri mkuu wake awe Magufuli Ila haiwezekani kabisa
Kwa utafiti upi uliofanya?Umewezaje kujua behaviour za wapiga kura?Msijitoe ufahamu kwa kiwango hiki!Huna utafiti unapataje ujasiri wa kutoa majibu ambayo hutolewa kwa tafiti?Amini nakuambia nakuambia pattern ya mwaka huu haitafuata patterns za 'undecided' zilizo kichwani mwako. Makundi yote yameishaamua mpaka leo hii.
Imenikumbusha Rombo Mramba aligeukwa siku 3 tu kabla ya uchaguziKabla ya kampeni, kura yangu ya Rais ilikuwa kwa Magufuli.
Baada ya kuanza kampeni, kura yangu Ni kwa Lisu.
Mleta mada umeandika pumba.
Mleta uzi alikuwa anapima kina cha maji kwa pua! Ukiona wakati wa kampeni mgombea anafokea wapiga kura na mengi mengine tunayoyaona, elewa fika ushindi wake hautegemei kura zao. Anazunguka tu kama zuga. Mkurugenzi wa NEC anampigia kampeni. Anamwita mshindani wake kwa jambo lisilo na tija. Amtoe kwenye reli. Amtafute ubaya kwa kumtekenya. Akicheka nongwa. Akishindwa kucheka muhali. Yote tisa, kumi TAL anaitwa na Mkurugenzi lakini ole ya kutoitikia wito inatamkwa na Polepole. Uchawi huwa kwa kificho ukijulikana hauna madhara tena.Imenikumbusha Rombo Mramba aligeukwa siku 3 tu kabla ya uchaguzi
Makada wa ccm ni wengi kuliko chama cha Mbowe. Wale undecided, tukiongeza kidogo biashara inakwisha asubuhi na mapema. Magufuli kiboko yao.Kama hujui,kuna kundi kubwa la wapiga kura ambao huwa "undecided"!Hawa ndio huwa walengwa wa kampeni za uchaguzi!
Achana na makada ambao ije mvua lishuke jua wao huchagua chama chao!
So uzi wako ni upotoshaji mkubwa na hauna back up ya kiutafiti!
Jipangeni kuandika mada za maana na zenye ukweli JF iwe na hadhi na heshima kama zamani!