Kenya 2022 Wagombea Urais Kenya waanza kuwasili ukumbi wa kutangaza Matokeo

Kenya 2022 Wagombea Urais Kenya waanza kuwasili ukumbi wa kutangaza Matokeo

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
MATOKEO KENYA: MSAFARA WA NAIBU RAIS RUTO NA MKEWE KUELEKEA BOMAS MUDA HUU

Naibu Rais William Ruto na mkewe Rachael Ruto wameondoka nyumbani kwao Karen kuelekea eneo la Bomas ambapo Tume ya Uchaguzi, IEBC itatangazia Matokeo ya Urais.

Taarifa ya Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati imethibitisha kuwa Matokeo ya Urais yataanza kutangazwa leo Saa 9 Alasiri.

Tayari Mgombea wa Roots Party George Wajackoyah na David Mwaure wa Agano wamewasili katika ukumbi wa Bomas.

WAJA.png
unnamed.jpg
 
Yes tv nyingi zipo live sasa kusikiliza matokeo, ila je kuna mshindi wa 50%+1 winner au watafanya rerun?
 
Back
Top Bottom