beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis Juma kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha ADC.