Wap?zuga tuWakuu napenda kufahamu katika hawa wagombea wa Urais wa TFF kuna
ambaye amewahi kucheza, kufundisha mpira au hata kuwa na utaalamu wa
Ualimu wa Mpira?
Mwenye kuwafahamu vizuri naomba anipe sifa ya mmoja mmoja ili niweze
kumfahamu vizuri kwenye Tasnia ya mpira yukoje kabla sijaamua nani wa
kumpigia kura.
Tenga si alikuwaga msakata ndinga?Hatafutwi kocha mkuu, anatafutwa zaidi ya kocha. Sasa kama unatafuta mpishi
wa Biriani halafu ukaletewa mtu hata chai hawezi lazima uwe na mashaka.
Wakati wa Tenga Tulikuwa nafasi ya ngapi katika Rank za FIFA naTenga si alikuwaga msakata ndinga?
Kuna nini cha ziada toka kwa wasakata kabumbu wastaafu?
Wana taaluma ya uongozi?
Au wanajua kutoa maboko mwanzo mwisho?
Upeo wa wachezaji wetu wastaafu ni mdogo kiuongozi!!
Wamejaza lawama vichwani kuliko ubunifu wa programs zinazoweza ku yield miaka 15 - 20 ijayo.
Weka fact achana na maswaliWakati wa Tenga Tulikuwa nafasi ya ngapi katika Rank za FIFA na
wakati wa Malinzi tuko Rank ipi?
Ndio maana watu wanaenda shule kusomea 'management".....atafutwe mtu mwenye mipango na anayeweza kusimamia sheria. ......tunaweza pata mchezaji wa zamani mzuri kama 'Boban',je unadhani ataweza kuongoza?Hatafutwi kocha mkuu, anatafutwa zaidi ya kocha. Sasa kama unatafuta mpishi
wa Biriani halafu ukaletewa mtu hata chai hawezi lazima uwe na mashaka.
Hewaaa! Sasa hapo ndipo kuna kitu kinaitwa sifa za ziada hivyo tunatakaNdio maana watu wanaenda shule kusomea 'management".....atafutwe mtu mwenye mipango na anayeweza kusimamia sheria. ......tunaweza pata mchezaji wa zamani mzuri kama 'Boban',je unadhani ataweza kuongoza?
Mpira sio Biriani. Pele alipewa uwaziri wa michezo Brazil, Timu ikakosa Ubingwa World Cup.Hatafutwi kocha mkuu, anatafutwa zaidi ya kocha. Sasa kama unatafuta mpishi
wa Biriani halafu ukaletewa mtu hata chai hawezi lazima uwe na mashaka.