Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Until when he started to talk about amnesty for illegal immigrants...nina support amnesty but you cant mention it when about 2.5m people are out of work.Nadhani bwana Clegg alishinda huu mdahalo...huyu bwana ni wa chama cha Liberal Democrats.....ni kidogo kulinganisha na Conservative na Labour Party....bila huu mdahalo huyu bwana asingeweza kuonesha cheche zake.....
Ule wa 1995 Mkapa aliondoka amevimba kwa hasiraKwa mara ya kwanza, wagombea uwaziri mkuu wa Uingereza walikutana ktk mdahalo na kuelezea sera zao na maono yao ya jinsi na wapi wanataka kulipeleka taifa lao kama wakibahatika kuchaguliwa kuliongoza.
Je, Kikwete ana guts kweli za kukutana ana kwa ana na washindani wenzake na kudahalo kama hawa jamaa? Sidhani hata kiduchu! Haya furahia mdahalo.....
Nadhani bwana Clegg alishinda... wa chama cha Liberal Democrats.....kulinganisha na Conservative na Labour Party...