Kama kuna kitu kinachonifanya nijiulize maswali mengi kichwani ni wagombea viti vya uraisi vyama vya upinzani. Toka mwaka 1995 wanaogombea ngazi ya uraisi wengi ni wale wale!
Hii inaleta picha gani? 2010 bado tutaona sura zile zile za 95 au tutakuwa na wagombea wapya?
Politicians are politicians. Wengi wa viongozi wa upinzani wana tamaa kama viongozi wa CCM tu. Kila mmoja anautaka uraisi na kila mmoja ana tamani kuingia kwenye vitabu vya historia kama raisi wa kwanza kutoka upinzani tokea CCM ishike madaraka. They will try to run again but I doubt wata achia wengine nafasi kwa hiyari.