Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali.
Soma, Pia: John Mrema aanika madudu ya TAMISEMI, adai fomu za wagomea wao zimechezewa
"Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) walioenguliwa sababu eti kwamba hana kazi ya kumpatia kipato halali, ni kwa sababu wameandika ni wajasiriamali sasa unajiuliza sijui walitaka watu wetu wadanganye kuwa ni wakulima ili mwisho wa siku waseme Dar es Salaam hakuna mashamba"
Soma: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa