Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali.
"Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) walioenguliwa sababu eti kwamba hana kazi ya kumpatia kipato halali, ni kwa sababu wameandika ni wajasiriamali sasa unajiuliza sijui walitaka watu wetu wadanganye kuwa ni wakulima ili mwisho wa siku waseme Dar es Salaam hakuna mashamba"

mjasiliamali ni kazi gani? iko general sana lakini hapo ukiangalia katika huo ujasiliamali kuna kazi yenye jina anayofanya kama muuza madafu mpiga tofali sasa kwanini asiandike hivyo huo ni uhuni wakutaka kuonewa huruma chadema ni wahuni sana
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali
mjasiliamali ni kazi gani? iko general sana lakini hapo ukiangalia katika huo ujasiliamali kuna kazi yenye jina anayofanya kama muuza madafu mpiga tofali sasa kwanini asiandike hivyo huo ni uhuni wakutaka kuonewa huruma chadema ni wahuni sana
mjasiliamali ni kazi gani? iko general sana lakini hapo ukiangalia katika huo ujasiliamali kuna kazi yenye jina anayofanya kama muuza madafu mpiga tofali sasa kwanini asiandike hivyo huo ni uhuni wakutaka kuonewa huruma chadema ni wahuni sana
Haki haiji ila kwa ncha ya upanga. Mnazidi kubembeleza sana. Kama mtaendelea hivi itawachukua miaka 500 kuleta mabadiliko ya kweli. Huu sasa ni ujinga kuamini kuwa taratibu zilezile zitaleta mabadiliko ya kweli.
mjasiliamali ni kazi gani? iko general sana lakini hapo ukiangalia katika huo ujasiliamali kuna kazi yenye jina anayofanya kama muuza madafu mpiga tofali sasa kwanini asiandike hivyo huo ni uhuni wakutaka kuonewa huruma chadema ni wahuni sana
Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali.
"Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) walioenguliwa sababu eti kwamba hana kazi ya kumpatia kipato halali, ni kwa sababu wameandika ni wajasiriamali sasa unajiuliza sijui walitaka watu wetu wadanganye kuwa ni wakulima ili mwisho wa siku waseme Dar es Salaam hakuna mashamba"
Kazi zote zimehothiwa na kikundi kidogo cha watu na wengine wana miaka 80 bado wapo kwenye Ofisi za umma halafu hata anaegombea unamuengua kisa hana kazi ya kipato, sijui hili linatokea wapi kwa kweli.